Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jifunze kusikiliza zaidi ya kuongea,tafakari ulichosikia na uliza swali kujiridhisha kile ulichoelekezwa ili mambo yako yaende sio tu kwa sababu umeambiwa ufanye bali ulichoambiwa na matokeo yanayotarajiwa.
 
Kuwa na mtazamo chanya
Kuwa na mtazamo chanya juu ya mambo yanayoendelea ofisini. Usichukulie kila unachoambiwa na usichokipenda kuwa ni sehemu ya tatizo na manyanyaso kwako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kamanda wa pwani. Niliwahi kupata kamalaika ka Kizaramo aisee kaliniendesha vibaya sana. Ila kalikuwa kazuri kwa kweli. Mpaka leo nakakumbuka ka Ashura kangu !!!
1c14ae9ce3bc41ff3fdde5a86d9bf8a8.jpg

[emoji124] [emoji124] [emoji124]lazima tutoke wote, seya oo seya...[emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
 
Afadhali mana kile kipimo hapana,imagine unakutana na mtu umri kama baba ako au hata babu unamwambia inamana nikufanyie DRE daaah!

Baada ya kuwa umemkoleza na ile special cleansing solution usiku kucha.[emoji3]! Akina mama nao ile pap smear test nayo yataka moyo! Vipimo vingine mtu anaweza sema liwalo na liwe! [emoji3]
 
Back
Top Bottom