Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

429ac63180d2c5c428460004b7e4d93d_extras_albumes_0.jpg
 
Acha ipoe. Kuandaa Cream spread Chukua butter,icing vuruga mpaka vichanganyike weka ute wa mayai 2 yaliobaki changanya kisha weka vanilla, hakikisha umepata mchanganyiko mzito Weka portion mbili tofauti uweke zile rangi tofauti,hakikisha keki imepoa kabisa,anza kupamba keki yako utakavyopenda kwakutumia vipambio vya keki. Iweke kwenye frigi kwa lisaa1. Sasa iko tayari kwa kuliwa. Unaweza kula kama desert baada ya mlo. Hope you enjoy.
 
Back
Top Bottom