Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-19-20-33-29.png
 
KEKI YA NDIZI Mahitaji 1kg Unga wa ngano 8 mayai Vanilla esence 1kg icing sugar 1kg Butter Baking powder 10 Ndizi mbivu Food colour(pink,brown) Matayarisho Chukua bakuli kubwa weka butter nusu kilo na icing yako changanya mpaka upate mchanganyiko mwepesi kisha vunja mayai 6 changanya mpaka vivurugike kisha ongeza unga,baking powder na vanilla,weka mchanganyiko wako pembeni. Brend ndizi zote kisha weka kwenye bakuli. Paka butter kidogo kwenye sufuria nyunyiza na unga,weka mkorogo wa unga kiasi kwenye sufuria halafu juu yake weka mkorogoro wa ndizi weka tena unga juu ya hiyo layer kisha mchanganyiko wa ndizi malizia kuweka layer ya mwisho ya unga;oka kwenye oven mpaka iive.
 
Back
Top Bottom