Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushindi bhana mpka mnalewa bila kunywa yaani kichwa kichafu amekuwa Lukaku Leo [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka Mpaka wananishangaa
Mzee wa liver

CantstopwontStop
 
3d85e92a4a9255e82b6dc5124cc4d6cf.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima!??? Aisee nimewamiss...
 
KUTENGENEZA COLESLAW MAHITAJI Kabichi iliyokatwa nyembamba 2 vikombe Carrot iliyokwaguliwa 1 Kitunguu 1/4 kilichokatwa vyembamba Yogurt au mayonnise 1/2 kikombe Limao 1/4 Chumvi kiasi MATAYARISHO Katika bakuli safi changanya vitu vyote mpaka mchanganyiko wako uchanganyike vizuri, kisha iweke frijini kwa muda mchache ili chumvi na limao viingie katika kabichi na carrot. Baada ya hapo caleslaw yako itakuwa tayari kwa kuliwa. Hii ni moja wapo aina ya salad na mara nyingi pindi watengenezapo hupenda kutumia mayonnise, Ila kwa mimi hupenda kutumia yogurt badala ya mayonnise.kwa maana mayonnise ina mafuta sana. Kwa hiyo hapo chaguo ni lako unaweza tumia mayonnise au yogurt.Unaweza kulia na chips,nyama au chochote upendacho.
 
Back
Top Bottom