moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Korea drama,hollywood movies na series,movie za kihindi kidogo na wafilipino hizo ndo nitapoteza muda kuangalia lakinj si bongomovie[emoji23][emoji23]Watu wa bongo movie kama wamo humu wanisamehe kwa kweli wakitaka niaangalie wabadilike kwa kweli Mimi binafsi siangalii kabisa hizo
Korean drama hapo kama likes likes
If I became actor accidental would you watch meSizipendi tu kwakweli
Biyutifuli
Noo kwakweli utanisamehe[emoji23][emoji23]If I became actor accidental would you watch me
CantstopwontStop
[emoji4][emoji4][emoji4]As you are My African Queen
CantstopwontStop
Hii bongo movie kama arsenal vileKorea drama,hollywood movies na series,movie za kihindi kidogo na wafilipino hizo ndo nitapoteza muda kuangalia lakinj si bongomovie[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii bongo movie kama arsenal vile
Niliwaona wakitoka mahakamani kipindi kile alikuwa na kakesi hivi. Yaani mtu unashindwa hata utazame wapi. Walikuwa kama wanne hivi na wote ilikuwa ni misambwanda ya kufa mtu. Mmojawapo ni huyu hapa chini...Hila Shimba ule ukoo umejariwa sio mchezo