myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Mkuu Ruta upoNjema
Kombe la Dunia 2006 lilifanyika German bingwa ndio ItalyKombe la Dunia Mwaka 2006 lililofanyika ITALY.
Unakumbuka ZIZOU alivyompa Ndosi MATERAZZI?
MATERAZZI alimtusi ZIZOU.
ZIZOU alipoteza na kwa hasira akampelekea MATERAZZI Ndoo.
Picha inafuata hivi punde
21:2420:33
AMUN RA
Kama inaua??? Halafu anajiapiza "leo nahakikisha anakufa kwa hii sumu,maana ni kali sana" huku kavaa viatu vya mchuchumio na likilemba kuuubwa kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa..unaweka sumu kwenye chakula then unaonja
Presha na timu ya mchanganiBob12 sijui yuko wapi leo hajaonekana humu
[emoji23][emoji23][emoji23](Nipo mjue)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli kukosa amani kwa ajili ya mpira hapanaLazima alaumiwe bhana unajiua kisa mpira?tena ligi ya uingereza??daaah!!...mnisamehe tu kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh na wewe ndo utakuwa sababuKwamba ubongo bado haujaamka? Ila siku akija kugundua...atakukata kichwa,utakuwa unazunguka tu Keko,Yombo,Tandika kama binadamu wa maonyesho asiye na kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndo bongo movie bhanaKama inaua??? Halafu anajiapiza "leo nahakikisha anakufa kwa hii sumu,maana ni kali sana" huku kavaa viatu vya mchuchumio na likilemba kuuubwa kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni zero kabisa.Umemloga mdogo wangu,carba nakuchenjia,mrudishie akili zake.Cole namjua ukorofi wake,kumbuka juzi tu barca ilivyo fungwa....hawezi kukubali kila kitu kuhusiana na wewe.Rudisha akili za mdogo wangu[emoji380] [emoji375] [emoji379] [emoji378] [emoji380] [emoji375] [emoji378][emoji23][emoji23][emoji23]umeamini eeh