Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pilau ya nyama Mchele Nyama Tangawizi Mdalasini Uzile Maggi cube Chumvi Ndimu Vitunguu Mbatata Thom Chukua nyama ioshe vizuri tia tangawizi kitunguu thom ndimu na pilipili manga ichemshe mpaka iwe tayari Roweka mchele Kaanga viazi mbatata mpaka vibadilike rangi kisha vitoe weka pembeni Kaanga vitunguu vikishakuwa vyekundu tia mdalasini na uzile uzile unaukaanga kidogo pembeni upate harufu nzuri halfu tia maji kiasi na maggi cube wacha ichemke tia mchele na mbatata ukisha kauka tia nyama uache mpaka uive tayari kwa kula Nb...nyama ichemshe vizuri icive sana
 
*HAKUNA watumishi wa serikali wenye dharau kama manesi wa dispensari za vijijini ............ mtu unashusha suruali ili akuchome sindano halafu anakuliza "HAYA MATAKO ULIPAKA MAFUTA LINI???"*

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Cake Machungwa 2 yapare lile ganda lake. Kisha kamua upate maji yake chungwa kikombe 1. Sukari vikombe 2 isage iwe unga. Mayai 4 Cocoa robo kikombe Mafuta nusu kikombe Unga vikombe 2 Baking powder vijiko 2 Ark Chumvi kiduchu Namna ya kupika Piga mayai kwa mashine mpaka yavimbe tia ark na mafuta saga pamoja kisha weka ile juice ya chungwa na yale maganda uloyapara saga pamoja kisha weka unga na ile sukari ulosaga changanya vizuri kisha tia chumvi kiduchu tuu ukisha changanyika vizuri. punguze ktk kibakuli mchanganyiko wako chota km vijiko 8 vikubwa vya chakula ktk hicho kibakuli kisha tia cocoa changanya vizuri. Paka tray mafuta au siagi vizuri kisha mimina huo mchanganyiko wako ulokua hauna cocoa mimina wote ktk tray kisha tia huo wenye cocoa tia kwa kijiko hii kijiko 1 baada ya kimoja sehemu tofauti juu ya hiyo mchanganyiko wako wa plain ukisha maliza chukua kisu fanya kuikoroga km unachora no 8 vile lkn sio mpaka chini ni juujuu tuu. Ukimaliza ichome cake km kawaida.
 
Back
Top Bottom