myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes ziwekweee
HahahaaOops, my bad! Nilikuwa napita tu ndio nkaona! Narudi kwenye homuweki! [emoji3]
Hey....!??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa livaaaaaa....unaharibu sasa!!! cc za nini? Kwani mimi sijui kusoma ya sealed?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Barua unaandika cc kwa nsamaka kwanza anasoma ndio anampa mzee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha kicheko ni afya wacha nichekeAmina.Ulisema nisikate tamaa,baada ya mahangaiko nimejileta humu tena.
Hicho kimsambwa...kina kuwepo kwa ajili ya kuegeshea kanga/kitenge,kina mvuto wa aina yake, hasa mkiongozana unaweza ukaurestisha mkono wako na kuurimeinisha pale juu yake bila kudondoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahaaa kumbe hapo SawaLa kuwasiliana na nsamaka ili anisamehe kwa yote yaliyo pita.Si unajua carba ndio rafiki yake!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Au wewe unafikiriaje??
Kama namuona binti wa kikoromije anavyoisoma kwa makini huku ameshika limfimbo la kunikong'olea kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeee nikiandika cc ntaongeza mbwembwe hadi akome[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa mechi ya final ndio ileleta shida De Lima alicheza anaumwaTimu ya Taifa ya Brazil ya mwaka 1998, ingawa hawakuchukua Kombe.
Kwa kweli Kikosi chao kilikuwa kimekamilika.
Mnamkumbuka Roberto Carlos?
Rivaldo, Cafu, Dunga, Denilson, Ronalde De Lima, Bebeto, Denilson na wengineo