Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwaona wakitoka mahakamani kipindi kile alikuwa na kakesi hivi. Yaani mtu unashindwa hata utazame wapi. Walikuwa kama wanne hivi na wote ilikuwa ni misambwanda ya kufa mtu. Mmojawapo ni huyu hapa chini...![]()
Won
Huyu jamaa huwaga hatoi like hata moja. Yeye anakuja anaweka post hata 100 kwa mpigo halafu anapotea. Ni ajabu kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hutupi likes sasa tutakupaje
AiseeUnapopita maskani wamekaa wavulana, wasalimie kisha chukua hamsini zako, utani wa kijinga epukana nao kwani mwisho watakutongoza na ukionesha kuchukia watadai walikuwa wanakutania kumbe wako ‘sirias’.
Kumbe uliona hile picha ya mahakamani da ni shida kabisa mzee wa Tukuyu angejob hundred hapo hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niliwaona wakitoka mahakamani kipindi kile alikuwa na kakesi hivi. Yaani mtu unashindwa hata utazame wapi. Walikuwa kama wanne hivi na wote ilikuwa ni misambwanda ya kufa mtu. Mmojawapo ni huyu hapa chini...![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bongo muvi ni shida. Naona hii ni closeup shot...[emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
23:0823:03
Aisee
I am fine mbona siku hizi hunipi likes wajamaniMzee wa namba Hawa youuu
Beautiful
Mara mia ya limbwata lakini kupenda arsenal unatakiwa uwe na roho ngumu kam Great khaliNo limbwata nimekupenda mwenyewe kwa akili zangu bila kushawishiwa na mtu yeyote. Nakupenda kweli
Kama Bob12 anavyo ipenda Arsenal
CantstopwontStop