Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
L821
Sema...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaishia kinabaki kiflatscreen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawe ulale salamaWapendwa mkawe na usiku mwema
Mungu apate kutulinda
Tuonane tena kesho panapo uhai
Kesho kanisani
Pole mkuu [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Jamani jamani
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli kabisaUliombee Taifa letu liondokane na udikteta uchwara kudharau katiba, bunge na sheria za nchi, Sala njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wakitekwa sijui kwa nini huwa hawapendi kusema walikokuwa. Hata huyu kagoma kabisa kusema alikokuwa. Aliyemteka naye siku hizi haonekani. Ni shida !!!