mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tuko poa MkuuHabari wapendwa. Naona mpo poa humu ndani
Tuko poa MkuuHabari wapendwa. Naona mpo poa humu ndani
Du hatariPozi moja matata sana !!!Carba angekuwepo hapa angesema huyo mkaka ni Andjul [emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Mkuu kama vile nakuona ulivyonyong'onyea [emoji23][emoji23][emoji23]Leo kazi ipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaweza kufa kwa kihoro
Nipo mkuuMzee wa liver upoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaa hii Kali jamaa yangu timu sio kabila
Njoo hata liver
Hakika mkuu,kila mtu apewe nafasi ili mradi anao wanao muelewa.Mimi mniache na kaugonjwa kangu ka misambwa...kabisaaaaa.Akili ikinirudi ya kuelimishwa nitakuwa nawa fuata kwa muda wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet. Kila mmoja wetu kwa wakati na staili yake. Hata watu wa namba nao wanatukumbusha kuhesabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]