Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda sahihi wa kunywa maji 7:00 glasi ya 1 Kunywa kikombe cha kwanza cha maji baada ya kuamka husaidia mambo mengi sana na pia hurudisha maji yaliyopotea wakati umelala na kunywa chai angalau baada ya nusu saa baada ya kunywa maji 9:00 glasi ya 2 Baada ya lisaa limoja kupita baada ya kunywa chai ya asubuhi kunywa glasi ya maji ili kuanza siku 11:00 glasi ya 3 Pata glasi ya maji nusu saa kabla ya kupata chakula cha mchana 13:30 glasi ya 4 Kunywa glasi ya maji lisaa baada ya kupata chakula cha mchana ili kuruhusu virutubisho kutoka kwy chakula kufonzwa na mwili 15:00 glasi ya 5 Pata glasi ya maji kutokana na kupoteza maji na shughuli mbalimbali 17:00 glasi ya 6 Kunywa glasi nyingine ta maji ili kukusaidia kutokula chakula kingi cha jioni (dinner) 20:00 glasi ya 7 Pata glasi ya maji lisaa limoja baada ya chakula cha jioni (dinner ) na kabla ya kuoga 22:00 glasi ya 8 Kunywa glasi ya maji lisaa kabla ya kulala hii husaidi kutengeneza seli wakati umelala NB:Muda mzuri wa kunywa maji ni baada ya kuamka,kabla na baada ya kupata chakula,kabla ya kuoga na kabla ya kulala -
Binadamu sisi bwana. Hata jambo rahisi tu kama kunywa maji ya kutosha tunashindwa. Mtu siku nzima hunywi maji halafu jioni unaziparamia Balimi. Figo hapo kweli zitapona?
 
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
dd91c3a9a87ad0fc11f216992fe79a4e.jpg
2ebf5f271255c2be066fae01bc41be49.jpg
 
Back
Top Bottom