Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vitu tunavyotakiwa kula ili kutusaidia kuondoa sumu mwili (body detox) Maji husaidia sana kusafisha tumbo na kuondoa mafuta mwili. Tikitiki maji , matango na machungwa huondoa sumu na kuimarisha kinga ya mwili hasa inasaidia sana kuzuia kansa. Tangawizi, mdalasini na limao kwy chai husaidia kushafisha na kupunguza mafuta mwilini. Kula mboga za majani na kitunguu saumu husaidia sana kuondoa sumu mwili na kuongeza kinga ya mwili. Ni muhimu sana kuepuka vyakula vya makopo na juisi za viwandani ambayo ndizo kwa kiasi kikubwa vinachangia kuingiza sumu mwilini na kufanya mazoezi ni muhimu hasa husaidia kutoa sumu kupitia jasho.
 
CHOCOLATE BANANA CAKE Mahitaji 2 vikombe vya sukari 1 3/4 kikombe cha unga wa ngano 3/4 kikombe cha unga wa cocoa 1 1/2 tsp baking powder 1 1/2 tsp baking soda 2 mayai 1 kikombe cha ndizi zilizoiva zilizopondwa 1/2 kikombe cha maziwa 1/2 kikombe cha mafuta ya kupikia 1 1/2 vannila extract 1/2 tsp chumvi Njia Changanya unga wa ngano,sukari, baking powder, baking soda,unga wa cocoa na chumvi pamoja. Kwenye chombo kingine changanya mayai, ndizi zilizopondwa, maziwa ,vannila na mafuta ya kupikia mpaka ichanganyike vizuri. Kisha chukuwa huo mchanganyiko wa majimaji changanya na ule wenye unga changanya mpaka uchanganyike vizuri mpaka utapata mchanganyiko mzito. Bake kwa dakika 40 mpk 60 na kisha angalia kama tayari kwa kuchoma na toothpick katika ikitoka safi tayari . Acha ipoe na tayari kwa kuliwa au kupambwa na chocolate , icing sugar na whipping cream.
 
Jinsi ya kusafisha na kungarisha ngozi kwa kutumia ukwaju Mahitaji Ukwaju kijiko cha chai 1 Limao kijiko cha chai 1 Asali kijiko cha chai 1 Njia Changanya ukwaju,limao na asali mpk upate mchanganyiko uliochanganyika vizuri halafu paka kwenye uso uliomsafi paka acha kwa dakika 20 Osha uso wako na maji ya uvuguvugu Unaweza fanya 2 mpk 3 kwa wiki - 1
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro haupo deep sana kwenye maswala ya Soka lakini una vijembe vinaumiza eti mawenge

CantstopwontStop
Ngoja niende nikapige screenshot ya hayo maongezi. Ni kweli. Hassan Mawenge kila kona !!!
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hatari
Hamna pakuponea
Nyumbani moto
Kwa mchepuko moto
 
Jinsi ya kusafisha na kungarisha ngozi kwa kutumia ukwaju Mahitaji Ukwaju kijiko cha chai 1 Limao kijiko cha chai 1 Asali kijiko cha chai 1 Njia Changanya ukwaju,limao na asali mpk upate mchanganyiko uliochanganyika vizuri halafu paka kwenye uso uliomsafi paka acha kwa dakika 20 Osha uso wako na maji ya uvuguvugu Unaweza fanya 2 mpk 3 kwa wiki - 1
 
Back
Top Bottom