Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.kupima. Ni vizuri tuwe na tabia ya kufanya vipimo hospital hata mara moja kwa miezi 4 ili kupata kujua afya zetu na magonjwa ambayo ukiwahi yanaweza kutibika kiurahisi mfano kansa ya maziwa kwa akina mama,sukari nk hasa watu wenye miaka 50 na zaidi wanatakiwa kuzingatia hili sana. 5.kuepuka mawazo. Ni vizuri kujiwekea mipaka katika maisha na kuhakikisha unajitahidi kuepuka mawazo ambayo yatakuletea madhara na kujitahidi kuchanganyika na familia na marafiki,kufanya mazoezi,kupata muda mzuri wa kulala .
 
Nimeeenda Whatsapp nikakuta Hassan Mawenge, Hassan Mawenge kufuatilia vizuri kumbe wanamwongelea Arsene Wenger. Kazi ipooo !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro haupo deep sana kwenye maswala ya Soka lakini una vijembe vinaumiza eti mawenge

CantstopwontStop
 
Mzee wa livaaaaaa....unaharibu sasa!!! cc za nini? Kwani mimi sijui kusoma ya sealed?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc muhimu bhana mama kafunga safari kukufuata dar baada ya kuzamia misambwanda inakutesa maji chumvi lazima alinde chake
 
MIHOGO YA NAZI Mahitaji Mihogo mikubwa 2 Nazi kubwa 1 Chumvi Pilipili manga kidogo. Maji Njia Chukuwa mihogo yako menya na kata kata vipande kisha kuna nazi yako na tengeneza matui matatu. Kisha chukuwa sufuria weka mihogo,chumvi na pilipili manga na kisha weka tui la tatu na la pili kwy mihogo mpk ifunike mihogo ikipelea ongeza maji kidogo acha ichemke mpk mihogo iive kabisa kisha weka tu la kwanza na acha kidogo ichemkee na tayari kwa kuliwa
 
Faida za kufunga kwa afya ya mwili 1. Kufunga kunasaidia kuupa mwili nafasi kuondoa sumu (detofixation) kutoka sehemu mbalimbali za mwili ambazo zilijengeka kwa muda mrefu. 2. Husaidia kufufua upya chembechembe hai za mwili na pia hufanyia ukarabati wa seli zilizoathiria nyuma na kutenzeneza upya na kuimarisha zaidi seli 3. Pia nishati inayoelekezwa kwenye mfumo wa usagaji chakula huelekezwa kwy mfumo wa kinga ya mwili 4.husaidia kuponya magonjwa mbalimbali km viumbe uvimbe 5kwa sababu ya utowaji wa sumu mwili kuwa rahisi . 5.Mtu anayefunga mwili wake huimarika na husaidia kuongeza muda wa kuishi kutokana na kuongezeka kwa mfumo wa kinga ambao huimarika
 
Mwambie hayo maneno Shimba ya Buyenze ili akung'oe huko kwenye siti za nyuma,maana mnapiga tu kelele bungeni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE bungeni hataki kuhoji ilhali Watu lazima tuhoji, hakuna anayetaka kusubiri.

Tunataka wafanye mambo kwa uhakika [emoji16] [emoji16] [emoji4] [emoji4]
 
Barcelona ndimu
Arsenal limao
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom