Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet. Kila mmoja wetu kwa wakati na staili yake. Hata watu wa namba nao wanatukumbusha kuhesabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika mkuu,kila mtu apewe nafasi ili mradi anao wanao muelewa.Mimi mniache na kaugonjwa kangu ka misambwa...kabisaaaaa.Akili ikinirudi ya kuelimishwa nitakuwa nawa fuata kwa muda wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…