Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

687213ec45ad5497d9ea3b74b84cf2b5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
France 1998 hawatapata kikosi kama kile tena uwa Mara chache sana
Ni kweli.

Ingawa 2002 Kikosi kilikuwa hakijabadilika sana Michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika KOREA/JAPAN.

Hawakushinda hata Mchezo mmoja.

Nakumbuka Mechi ya Ufunguzi walipigwa na Senegal, Goli Moja kwa Sifuri.

Lile Goli moja halikurudi
 
Matabaka ya vyama.
Kuanzia bungeni mpk uraiani,mtu wa upinzani akisema kitu anaambiwa ni mchochezi
Nadhani hiyo ni nature ya binadamu tu. Hatutaki kupingwa. Tunapenda kusifiwa. Kama unataka kuhakikisha hili jaribu hata huko huko ndani ya upinzani kuleta mawazo mawazo mapya na ya kukosoa kosoa. Utaonekana kama unanyemelea madaraka ya watu na utafurushwa kama mbwa na cheo cha usaliti juu...
 
Back
Top Bottom