mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaishia kinabaki kiflatscreen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohoooo tayari waweanza
Ni kweli.France 1998 hawatapata kikosi kama kile tena uwa Mara chache sana
Nadhani hiyo ni nature ya binadamu tu. Hatutaki kupingwa. Tunapenda kusifiwa. Kama unataka kuhakikisha hili jaribu hata huko huko ndani ya upinzani kuleta mawazo mawazo mapya na ya kukosoa kosoa. Utaonekana kama unanyemelea madaraka ya watu na utafurushwa kama mbwa na cheo cha usaliti juu...Matabaka ya vyama.
Kuanzia bungeni mpk uraiani,mtu wa upinzani akisema kitu anaambiwa ni mchochezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia notificationI am fine mbona siku hizi hunipi likes wajamani
AminaUliombee Taifa letu liondokane na udikteta uchwara kudharau katiba, bunge na sheria za nchi, Sala njema.
Kalale salama mkuu. Mechi ijayo mtafanya vizuri. Na kesho si ajabu ukiamka utakuta Hassan Mawenge keshasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napenda kuendelea kuchangia hapa lakini uchovu mwingi ulioambatana na kipigo unanifanya nikatafute kitanda
Sent using Jamii Forums mobile app