Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani hiyo ni nature ya binadamu tu. Hatutaki kupingwa. Tunapenda kusifiwa. Kama unataka kuhakikisha hili jaribu hata huko huko ndani ya upinzani kuleta mawazo mawazo mapya na ya kukosoa kosoa. Utaonekana kama unanyemelea madaraka ya watu na utafurushwa kama mbwa na cheo cha usaliti juu...
Hilo huwa hatulioni. Maana huwa naona hata hapa jf, ukikosoa chochote ndani ya chama nyumbu, utaambiwa wewe ni fisi. [emoji3] [emoji3] [emoji3] Na siku ukiwakosoa mafisi utaambiwa ni unyumbu unakusunbua[emoji3] [emoji3] [emoji3] . Yani mwanadanu ni shida kwakweli. tunataka kusifiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
14517560_1743555872574873_5488300497551606621_n.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom