Amesharomiwa na akina Uniq braza siku hizi hana shida na mtu kabisa. Excessive politeness. Mpare yule nomaaaa !!!Hahahahaha usije ukamroma bure
Hawakupaform vizuri walirudi 2006 lakini wakapigwa na Italy finalNi kweli.
Ingawa 2002 Kikosi kilikuwa hakijabadilika sana Michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika KOREA/JAPAN.
Hawakushinda hata Mchezo mmoja.
Nakumbuka Mechi ya Ufunguzi walipigwa na Senegal, Goli Moja kwa Sifuri.
Lile Goli moja halikurudi
Wazo zuri sana. Hebu jaribu halafu utuletee mrejesho...
Scientifically proven?