Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli.

Ingawa 2002 Kikosi kilikuwa hakijabadilika sana Michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika KOREA/JAPAN.

Hawakushinda hata Mchezo mmoja.

Nakumbuka Mechi ya Ufunguzi walipigwa na Senegal, Goli Moja kwa Sifuri.

Lile Goli moja halikurudi
Hawakupaform vizuri walirudi 2006 lakini wakapigwa na Italy final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…