Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Faida za kufunga kwa afya ya mwili 1. Kufunga kunasaidia kuupa mwili nafasi kuondoa sumu (detofixation) kutoka sehemu mbalimbali za mwili ambazo zilijengeka kwa muda mrefu. 2. Husaidia kufufua upya chembechembe hai za mwili na pia hufanyia ukarabati wa seli zilizoathiria nyuma na kutenzeneza upya na kuimarisha zaidi seli 3. Pia nishati inayoelekezwa kwenye mfumo wa usagaji chakula huelekezwa kwy mfumo wa kinga ya mwili 4.husaidia kuponya magonjwa mbalimbali km viumbe uvimbe 5kwa sababu ya utowaji wa sumu mwili kuwa rahisi . 5.Mtu anayefunga mwili wake huimarika na husaidia kuongeza muda wa kuishi kutokana na kuongezeka kwa mfumo wa kinga ambao huimarika

DONDOO ZA AFYA BORA 1. mazoezi. Kwa siku jaribu kupata hata dakika 30 za kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimarisha afya na mwili kwa ujumla unaweza kutembea,kukimbia,kuogelea,kuendesha baiskeli nk 2.chakula bora. Tunitahidi sana kupunguza kula vyakula vyenye wanga,mafuta na vyakula vilivyosindikwa na kujitahidi kula kwa wingi matunda,maji,mbogamboga za majani,samaki na mbegu mbegu kama karanga,ufuta 3.kupunguza uzito. Ukiwa na na uzito mkubwa ni hatari kwa afya na hii inatokana na kula vyakula vyenye calories nyingi husababisha mwili kushindwa kuunguza so kula kidogo inasaidia na inasaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa kama moyo,kisukari nk

4.kupima. Ni vizuri tuwe na tabia ya kufanya vipimo hospital hata mara moja kwa miezi 4 ili kupata kujua afya zetu na magonjwa ambayo ukiwahi yanaweza kutibika kiurahisi mfano kansa ya maziwa kwa akina mama,sukari nk hasa watu wenye miaka 50 na zaidi wanatakiwa kuzingatia hili sana. 5.kuepuka mawazo. Ni vizuri kujiwekea mipaka katika maisha na kuhakikisha unajitahidi kuepuka mawazo ambayo yatakuletea madhara na kujitahidi kuchanganyika na familia na marafiki,kufanya mazoezi,kupata muda mzuri wa kulala .

MIHOGO YA NAZI Mahitaji Mihogo mikubwa 2 Nazi kubwa 1 Chumvi Pilipili manga kidogo. Maji Njia Chukuwa mihogo yako menya na kata kata vipande kisha kuna nazi yako na tengeneza matui matatu. Kisha chukuwa sufuria weka mihogo,chumvi na pilipili manga na kisha weka tui la tatu na la pili kwy mihogo mpk ifunike mihogo ikipelea ongeza maji kidogo acha ichemke mpk mihogo iive kabisa kisha weka tu la kwanza na acha kidogo ichemkee na tayari kwa kuliwa
[emoji115] [emoji111] [emoji817]
 
IMG_3606.JPG
 
Vitu vinavyo Fanya Nyama iwe laini katoka kuiunga. 1.Tangawizi fresh 2.papai bichi 3.majani ya chai 4.mtindi. 5.tunda liitwalo kiwi. Sina maana uvitie vyote kwa pamoja.hii nimekupa mfano ukiwa utakosa hiki weka kile. Utakacho chagua hapo hakikisha umesaga na ndio uweke kwenye mchanganyiko wa Nyama yako. Nyama haitaki makorokoro kuipata ladha yake. -
Hatari
 
Boko

nafight with my weather[emoji23][emoji23]

Kwa mtogole

nafight with my weather[emoji23][emoji23]

Tandale

nafight with my weather[emoji23][emoji23]

Tandika

nafight with my weather[emoji23][emoji23]

Mwananyamala

nafight with my weather[emoji23][emoji23]

Goba

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom