Siku hizi anaanzia subHahaha panga pangua Geroud lazima awemo
Kwasababu ni UndifinedMapenzi yaache kama yalivyo
You can choose a friend but you can't choose who you related toukikutana na mtu barabarani akakuuliza kama una rafiki wa kweli utaweza kumjibu kama ndiyo au hapana?
Hapana shaka utasita kumjibu, huenda hutaweza kupata jibu moja kwa moja na kama utaweza kumjibu mara tu atakapokuuliza, utakuwa una bahati sana.
Hili ni moja kati ya matatizo ya maisha. Tunapata marafiki wengi, lakini tunashindwa kuwafanya kuwa marafiki zetu wakati wote, hata wakawa marafiki wa kweli.
Numbisa..Wakati kamanda akimsifu yule kijana kwa mapenzi na upendo wake, naye akakata roho. Hawa walikuwa marafiki wa kweli. Je wewe una rafiki anayekupenda kiasi hiki?
Tutafute marafiki na tuwatunze. Huenda tutabahatika kupata marafiki wa kweli.