Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

anasema alivyoruka kumbe hakupiga mahesabu vizuri nikajikuta ametumbukia kwenye maji yaliyokuwa yanaenda kasi, akasombwa na maji. Baada ya hapo anasema hajui kilichotokea ila tu akajikuta yuko kwenye kitanda kwenye chumba hakifahamu
 
fahamu Tatizo na kuwa wambeya walienda kumwambia mkewe kuwa wamemuona jamaa kwa mwanamke mmoja na mkewe akaja kumkuta huko na kudai kamfumania. Yaani kila nikifikiria kumtetea hadithi hii napata tabu kwani najua mke wangu atadhani tunashirikiana kutetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…