carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mbaya sana hii
Good one...Mapenzi ni upofu !!!
Majibapa hayajawahi kuwaacha walevi salama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WALEVI WAWILI KATIKA MAZUNGUMZO YAO*
*MLEVI 1* hivi rafiki yangu china ni mbali kweli
*MLEVI 2* sidhani mbona pale kazin kuna mchina anakuja na baiskeli
Yuko wapi huyu Dr. Bingwa wa mifupa? Daktari bingwa halafu akapewa kuongoza wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe bangi haina madhara yoyote bana,nimejaribu kupiga pafu tatu usiku huu na Niko vizur tu nimekaa juu ya tv naangalia masofa yangu,