Fenesi hiloTunda hili lina nyama laini iliyojaa sukari aina ya fructose na sacrose inayoweza kuupatia mwili nguvu na kuuhuisha kwa haraka.
Am good kwakweliHlw my love how you doing???
CantstopwontStop
Na nini tena?[emoji15][emoji15]Kuwa makini
CantstopwontStop
Mama TANZANIA
[emoji23][emoji23][emoji23]hongera basi kama ulitekewa chumbani[emoji12][emoji12]Mtema kuni ni hatari,
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!
Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Na zingine hizo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ni yeye aliechukua
CantstopwontStop
Ooh!nimeelewa hongera babes[emoji7][emoji7][emoji7]Wewe hapo
CantstopwontStop
Toa like upate likeLikes for likes