Niliacha kitimia tangu 2005, ilikiwahata nile pkt 5, sipandishi kituPole aseee kuberi je[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
YupHo chi Minh Leo umewakilisha balaa big up sana
Haya maisha haya
TrueDah
wazazi wakigombana watoto ndiyo wanaumia
Mchina hatimaye ameanza kufunguka. Chumba chenu wawili na binti na mipilipili yote hiyo mbona kasheshe hasa ukizingatia kuwa mwenzio has an open system. Pole sana na hongera kwa kutupa angalau fununu ya huyu mtemakuni !!!Mtema kuni ni hatari,
Ukitekwa asubuhi unanawa maji yalowekwa pilipili,
Unakunywa maji yenye pilipili,
Mchuzi una pilipili nyingi sana,
Maziwa yana pilipili!
Unaoga maji ya pilipili!
Nilitekwa na binti mmoja ilikuwa hatari,
Mashuka yaliwekwa pilipili,
Uzuri tulipewa chumba chetu wawili tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
HahahahahaYaani nimetokea kumfagilia sana Wenga na kuanzia sasa mi ni shabiki numbero uno wa Aseno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi huu umeleta msisimko JF na si ajabu umeleta mamilioni ya hela. Utaukataje mkono ukupao ridhiki mkuu?modes hawajaugutukia huu uzi kweli?
HahahahaAcha uchawi sio mpka ubebe tunguri
Mwantala mwanawise mwantala[emoji23] [emoji23] [emoji23] natest Mitambo shimbaMi najua kuimba Kisukuma tu. Makizungu yenu haya mi siyawezi !!!