Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Njema kabisa jana tulikumiss sana lakini najua ni majukumu na pilikapilika za hapa na pale
Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…