[emoji106]Nisalimie mwenyeji wako roma
Sio wako ni wangu,kwenu alisha toka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Anaendelea vizuri japo hakuwa vizuri kutokana na safari ya jijini.We acha tu mkuu. Kudeti hii nyu jeneresheni hii ni pasua kichwa. Nsamaka wangu hajambo?
Kazi kweli kweli
Mkuu msalimie shemeji yetu mwambie tumemmiss sana humu yaani mnapotea woteYamekufika hapaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekupata. Na kwa vile ulishatoa mahari japo hukumalizia basi kweli ni wako. Msalimie pamoja na wapwa zangu !!!Sio wako ni wangu,kwenu alisha toka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Anaendelea vizuri japo hakuwa vizuri kutokana na safari ya jijini.
Kabisa my loveKazi ni moja tu!
PESA
MONEY
HELA
HILERI
MSHIKO
MICHUZI
HAPA PESA TU!
HahahahahaHahahaha
Hii speed ya huu Uzi ni shida kabisaHongera sana wakuu kwa kufikisha 305k,hakika umoja ni nguvu.
I guess we are sailing on the same boat my love!Kabisa my love
Anataka kunyonya bado mdogo ndio muda wake huo mpka miaka miwili
Ulimwengu huu umejaa mazizi kila kona mkuu na unaweza kujistress bure tu.Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapemba hawa ni hatari sana ohoooo !!!Hahahahaha mkuu naona uko makini na movement [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]