mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yap my dearWORD
Sio shida my dear!Hii speed ya huu Uzi ni shida kabisa
From a brilliant person!Yap my dear
Kk anatuzingua sana Jana kaja mida ya wanga akasepa Leo ajatia timuUlimwengu huu umejaa mazizi kila kona mkuu na unaweza kujistress bure tu.
Yeah we were worried about you. Natamani Carba, KK na Cole wajitokeze...
Mama wa mithali sijui kapotea wapi wacha nimtafute halipo nitampata tuNa mmiss coco Chanel jamani!
Upo kipenzi?[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nitarudi kucheki post no ngapiIlitupiwa na nani? Itakuwa ilinipita hiyo !!!
Kweli mzeeHii speed ya huu Uzi ni shida kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] liko imara kama jina lake SHIMBA ni kwenye msafara wa mamba kenge nao wapoMkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi jembekilloUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes
Kwenye jukwaa la siasa Mara nyingi anatokeaMe too. Bingwa wa Kiswahili asiyependa mchezo mchezo...Kwenye majukwaa mengine hayuko?
Asante kwa kunirekebisha kiswahili cha kisasa hiki ni hovyo sanaSio shida my dear!
Ni RA HA
Midomo inaumba!
My love amerekebisha ni raha sanaKweli mzee
Watu hawana noma wanazigonga tuNjema kabisa jana tulikumiss sana lakini najua ni majukumu na pilikapilika za hapa na pale