Hasara roho pesa....Kazi ni moja tu!
PESA
MONEY
HELA
HILERI
MSHIKO
MICHUZI
HAPA PESA TU!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nahemea juu juu kwa kutokuonana nanyi.Jambo la heri Mungu katupa pumzi tumekutana tena.Naona zizi la SYB linatikiswa na kimbunga Katerina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Indeed brother
Namuona kwenye jukwaa la vyamaMe too. Bingwa wa Kiswahili asiyependa mchezo mchezo...Kwenye majukwaa mengine hayuko?
Hamna hasara hapo!
Ok