Sijaona Mpare denjarazi kama Uniq aisee. Dogo ni hatari sana...Figisu figisu za kugombea demu tu ukizubaa anakutemakunisha jumla...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kk anatuzingua sana Jana kaja mida ya wanga akasepa Leo ajatia timu
Na mchina Jana alichangamsha Leo naye zii sijui Uniq kafanya yake tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] running away from qns[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna watu wananuna mpaka mwezi... na ndiyo mkeo sasa. Ina maana anakuwa hakupendi (tena)?
Acha apambane na GT BAK huko. Akipata muda bila shaka atatutembelea...