Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sababu za kutokea ugonjwa huu bila kuhusisha ongezeko la presha jichoni bado hazifahamiki. Tafiti chache zilizofanyika zinaonesha zinabainisha upungufu wa damu kwenye mshipa wa optiki unaoua chembehai zinazokosa virutubisho na hewa safi.
 
View attachment 572639
Hivi vitu vingine hata my wife wako akikubamba anakusamehe tena bila masharti! [emoji3]
Yeah. Hata ukikamatwa laivu unambembeleza waifu kuwa volkeno ndiyo tu ilikuwa inatokota na mripuko bado unasubiriwa ili ikibidi akusubiri nje mtakuja kuyamaliza kiutu uzima baadaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…