Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Shimba ya buyenze.Kuna kitu cha kujifunza hapa
Mwalimu ni mmojawapo wa wanafalsafa wa Kiafrika waliokuwa na kipaji cha hali ya juu sana. Namheshimu sana kwa jinsi alivyoamini kabisa kabisa katika mawazo yake na alichokuwa akijaribu kukifanya. Azimio la Arusha na Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea zilikuwa nguzo zake kuu za kinadharia na kivitendo. Siyo hawa viongozi wa sasa wanasema hichi halafu wanatenda hichi. Alikuwa kiongozi wa aina yake !!!
 
Tuko pamoja mkuu. We are family !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…