What's wrong SYB?RIP[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa nimekubali shemeji. Si ajabu ni mali ya Sauzi hii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usingizi umekata,kazi imegoma.....kisa?
Kuna kifo cha memba wa JF kiliwekwa juzi juzi hapa kikaleta utata kwa sababu walikataa kutaja jina la marehemu alilokuwa akitumia hapa JF kwa kisingizio kwamba marehemu alikuwa mtu wa kitengo. Watu wengi walijitokeza na kusema kwamba pengine jina lake hapa JF lilikuwa hilo. Wengi tulisikitika sana na kuomba kwamba isiwe kweli. Cha ajabu ni kwamba tangu wakati huo huyu jamaa hajajitokeza wala kupost cho chote, jambo ambalo halikuwa kawaida yake. Wengi wameanza kuamini kwamba pengine ni kweli alikuwa yeye. Akijitokeza hata leo watu wengi tutafurahi sana. Alikuwa hana makuu wala hakuwa na mambo ya kugombana na watu. Tumuombee !!!Mh! Are you serious Mkuu SYB?
Eti Chattle. BAK bana. Mimi najiuliza tu sewage system hapo ikoje; na kukinyesha mvua hali inakuwaje?Wapi hii? Maghorofa ya Chato!?
Ni huyu jamaa kapotea hapa JF; na kupotea kwake kukaingiliana na habari za kifo cha memba mmoja aliyefariki kwa ajali japo jina lake la hapa JF halikutajwa.What's wrong SYB?
Nyie watu mnaosaka likes muda hamna wake/waume/ wachumba...!
Au ndio mmekuwa addicted jf kias kwamba mnapiga show huku mnaslaidisha thiridis.. .