AwesomeTunajaribu kuufanya uzi huu uwe kama buffet tena ya kimataifa. Utani, picha, NAMBA, michezo na maarifa mbali mbali ya kila aina. Kila mmoja na lwake.
At a personal level kwangu mimi nachukulia kila kitu hapa kama utani. So ikitokea nikamkwaza mtu ni afadhali aseme tu na tunasonga mbele. So far sijawahi kufurahia uzi wo wote hapa JF kama uzi huu. Asanteni nyote!!!
Hahaaa.. Kambi popote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hisani ya Numbisa