Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3701.JPG
 
1. Miaka michache kidogo iliyopita mwanamke kuzaa nje ya ndoa (bila ndoa) ilionekana kichefuchefu.. Yaan utadharauliwa na kila mtu lakini sikuhizi tunashangilia na kupiga makofi.. Tunatamani kuwa kama wao.. Mwingine kuzaa nje ya ndoa yake na mtu mwingine tunaona sawa kabisa na tutamshauri kafanya vema yaan analeta mtoto wa nje ndani ya familia, tunaona sawa tu... Mpaka wana support!!!! .
.
 
2. Kutoka kimapenzi na mke au mume wa mtu ilikuwa nadra au haikusikika kabisa na wanandoa walitatua matatizo yao kama yalikuwepo na kurekebishana wenyewe kwa wenyewe hata siri haitajulikana... Lakini sikuhizi, matatizo ya ndoa tunaya solve kwenye social network yaan mtayatangaza dunia nzima ijue mke au mume ndo chanzo Ili mwingine "akihalalisha" mtu mwingine isiwe ajabu tena... .
 
3. Hawala au (mwizi mzoefu) anamuita mume wa mtu eti mume wangu yaan anajua kabisa huyo siyo wake ana familia yake lakini kajituliza hapo anataka hiyo nafasi ya mke/mume halali iwe yake na anajitangaza hadharani mume wangu oooh mke wangu.... Hivi mnaona sifa eeeh.. Ilikuwa kichefuchefu na aibu kubwa kumuita wife mwanamke ambaye siye mkeo na una mkeo nyumbani... Au my husband wakati huyo ni husband wa mwingine... Matokeo yake sasa baada ya hayo mahaba kukolea yanaumiza familia na kuhusisha watu ambao hawakustahili ujinga wenu.... Ilikuwa haiwezekani ila kwasasa anhaaaa mume wa wote... Mke wetu sote
 
4. Wanafunzi ku focus kwenye masomo yao mpaka wamalize shule...ukimuona mtoto wa darasa la tano, siyo mtoto tena kashaanza utu uzima, ni wachache sana walio salama, tamaa na mambo mchanganyiko vimewachanganya! Siyo kwa mwanafunzi wa kike au wa kiume tu...woote.. Kama siyo mtoto au ndugu yako angalia wa jirani yako
 
Kuna kifo cha memba wa JF kiliwekwa juzi juzi hapa kikaleta utata kwa sababu walikataa kutaja jina la marehemu alilokuwa akitumia hapa JF kwa kisingizio kwamba marehemu alikuwa mtu wa kitengo. Watu wengi walijitokeza na kusema kwamba pengine jina lake hapa JF lilikuwa hilo. Wengi tulisikitika sana na kuomba kwamba isiwe kweli. Cha ajabu ni kwamba tangu wakati huo huyu jamaa hajajitokeza wala kupost cho chote, jambo ambalo halikuwa kawaida yake. Wengi wameanza kuamini kwamba pengine ni kweli alikuwa yeye. Akijitokeza hata leo watu wengi tutafurahi sana. Alikuwa hana makuu wala hakuwa na mambo ya kugombana na watu. Tumuombee !!!
Yap wa vitengo wapi wengi humu
 
Back
Top Bottom