Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nishafika shemeji. Nafurahi kukukuta. Jana usiku KK na huyu mzee wa Tukuyu walikuwepo wanakuteta teta. Nilitamani machale yakucheze uamke uwachachafye kama unavyowachachafyaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sikushiriki.Ni KK alimsema carba kuwa huko aliko lala anamuota KK hovyo hovyo,na hapo kwenye 'hovyo hovyo' ndipo palipo nifanya nisishiriki maongezi yake.Sio kwamba nina wivu,wallaaah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…