Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Bado, naona kaamua kutulia ila hajamuacha carba?Asante dada langu la nguvu. Huyo mzee hajaanza kukusumbua na safari zake zisizo na kichwa wala miguu?
Mbona ujasema na mrembo?
Ndo siri ya mabinti wa Kihaya kufumuka misambwanda!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo siri ya mabinti wa Kihaya kufumuka misambwanda!!!
Poa kiongoziMnaoangalia mechi ya mchangani mtatupa matokeo
Zingatia ushauri wangu ulee. Kila kitu kitakuwa salama. Ni mapito tuu. Usione almasi inang'ara. Imepitia mengi !!!Iko salama japokuwa mambo magumu dooh[emoji55] .... Sahivi pamepoa at least mpaka napata time ya kuja huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa namba si ajabu akaanza kuwahesabu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee Weee Weee !!!!!!!Aisee, na mm ntaiga ili nifumuke
Anataka kuamsha kichwa kipi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unataka kuamsha kichwa umechoka kuinamisha kichwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njema mpenzi, habari yako.Nasmaka mambo wifi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi za kipuuzi kama hizi simba huwa anashinda...
Yaan ndio anijibu sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Anasema amekesha anakula milonge. Kumbe mke wala huna habari. Sasa sijui alikuwa anamlia nani...
Mungu kazi anayo. Aangalie masayari huko yasigongane na huku tena bado na Simba wanamsubiri Awabariki..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu ibariki simba.
Shukriya[emoji120][emoji120] ntauzingatia!Zingatia ushauri wangu ulee. Kila kitu kitakuwa salama. Ni mapito tuu. Usione almasi inang'ara. Imepitia mengi !!!
Nagumya bojo. Nogambaki mkazi wange? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ruta, ogumile?
Sass yeye mwenyewe anaitwa simba unataka ashabikie yanga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]familia yenu ni nzuri sanaUsiniambie upo simba[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji172]
Eeeeh nataka niwe na msambwanda hahahha.Weee Weee Weee !!!!!!!