mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Japo Mimi liver nitakuja wapi hapo
Something is up shemeji. Tujipe muda. Tutajua tu kinachoendelea. Hayafichikiiii !!!Waimba gospo wa humu ndani hawaaminiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kinachonipa mashaka ni huu ukaribu uliojengeka siku hizi[emoji125] [emoji125] [emoji125]
20:2619:23
Cole ana bahati sana. Namwonea wivu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Pole jakitooNakusalimu mkuu
HahahahahaAsante kunitia moyo shemeji. Madedikesheni yale hata mimi yaliniacha hoi hasa ukizingatia kwamba mi sijawahi pata dedication hata moja....
Chama la wana
Hata sina nguvu za kuifungua. Isije ikawa ndo wedding song uliyopanga mkuu. Bin Adamu hawaaminiki ati !!!Hii ngoma nadediketi kwa shimba na jakitoo,waendelee kudumisha
Duu[emoji23][emoji23][emoji23]niliowaita wanajua wataleta ufafanuzi hapa
SalamaaaHabari za mida hii
HahahahaHata sina nguvu za kuifungua. Isije ikawa ndo wedding song uliyopanga mkuu. Bin Adamu hawaaminiki ati !!!
Haya mambo ni kuomba Mungu tu. Wanaume sisi tuko wagumu sana kwenda hospitalini. Mpaka tuwe na maumivu ya kweli kweli. Kama ni kansa hapo tayari ishakuwa inoperable.Saratani ikigundulika mapema, madaktari wanaweza kudhibiti kusambaa kwake hivyo ni wajibu wa kila mmoja kuchukua hatua.
Inaonekana una mvuto wa aina yake mkuu. Keep it up [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani sikuhizi nikisalimiwa tu watu wanataka kuleta pipa la petrol
jamani jamani
LIKES KWA LIKES
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Bado unahangaika na your weather au weather yako ilishatengemaa?Nipo naweka like post zilizopita
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
HahahahHuna upako wo wote wewe. Gia tu hizo za kuingilia mazizi ya watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA20:26
AMUN RA
Yanga and Chelsea foreveeeerrrrYanga daima