HahahahNahifadhi hii post kwa mrejesho
Hifadhi tu mzee wa liverPost ingine hii naifadhi
Safi mkuu,hayo mambo ya mlonge kwa uzee wangu yatanitoa kibyongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
niambie mkuu andjul
nina debe 4 za mlonge hapa
Unataka uanze kumuogopaNa wewe uneanza imba gospo??
Hatari sana. Wenye deni kubwa la pango na swimming pool ya msimu leo hoiiii !!!
Amen!!!!!!!!Mungu awabariki baba wote[emoji120][emoji120]
Thanks baby. Nisamehe kama nilizidisha utani leo. NAKUHESHIMU !!!
Hahahaha
HahahahWapenzi wasiotaniana na kucheka pamoja hawatafika mbali. Nyumba inakuwa kama kambi ya jeshi...
Nitamfariji leo ili kupoza maumivu ya Yanga kufungwa. Halafu naona anataka kunifuata mimi kushabikia ASENO bila kujua sababu iliyonifanya mimi kuanzia ushabiki wangu huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka Bob atamwelewesha...
Nitamfariji leo ili kupoza maumivu ya Yanga kufungwa.
Uzi huu una waimbaji wengi wa gospo. Hapo bado Mzee wa Tukuyu mambo naye yakimchachia anaanza kushusha gospo. Ni upako tu mtindo mmoja !!+Na wewe uneanza imba gospo??
HahahahSafi mkuu,hayo mambo ya mlonge kwa uzee wangu yatanitoa kibyongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyumbani kwake umejaribu mkuu?Namtafuta Numbisa yupo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]relax dude,utani tu usichukulie seriousSiwaelewi ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kwa mikwara hiyo
TOA LIKES POKEA LIKES.