Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote miwili!
Nyumba za wageni wenyeji zimejaa kibao hapa mjiniKuiba ngoma ni rahisi, kasheshe ni kupata mahali pa kuipigia [emoji23][emoji23][emoji23]
Jembekillo kula likesHaaaa haaaa haaaa ni Kweli. Sasa inabidi uitwe wiseman
Hata uandike lugha ya mainzi, utakula like tuXbjddjriribr
Mama we!
Teh tehMama we!
Kula like zangu kama kumi kwa mpigo...hapa ni chi chatHapa hatuna dini, itikadi, vyama, elimu. Bora unajua kusoma na kuandika na usiandike matusi.
Mango833 ni pacha wangu kwa hili.... Kula like
Umeiona hiyo like??Utake usitake utakula like tu
awesome Imean....safi sanaThis, I mean this is awesome!
Harmorapa akiwa mtotoFisadi tangu utoto![]()
Ha ha haaaa!Preach