Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

262c9f9045176ad3d65a04733e36a14b.jpg
[emoji16] [emoji16] [emoji51] [emoji51]
 
Kula like zangu kama kumi kwa mpigo...hapa ni chi chat
wajua haya ndo madhara ya mitandao ya kijamii yaani hapa ni chit chat forum
ila waweza kuta una chati na mwalimu mkuu wako wa shule ya msingi au babu yako
ila ndo hivyo...hakuna namna tuna enda nao hivyo hivyo tu hawa vidingi wanaotaka
mambo ya digital....
Hapa usije na stress kabisa
 
usha jiona super star wewe....sasa natoa like zote nilizokupa
hapa ni mahala pa ku furahi kama unataka kuleta philosophical premises nenda kule jukwaa la Inteligencia...
kwendraaaaaaaaa....zako

NOTA BENE:

Uzi maalum wa kupeana likes, comment chochote upate like
Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jembekillo, Friday at 9:03 AM.
Fakamia likes...
 
Back
Top Bottom