Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

262c9f9045176ad3d65a04733e36a14b.jpg
Director makini kuliko hata Bongo muvi...
 
Kula like zangu kama kumi kwa mpigo...hapa ni chi chat
wajua haya ndo madhara ya mitandao ya kijamii yaani hapa ni chit chat forum
ila waweza kuta una chati na mwalimu mkuu wako wa shule ya msingi au babu yako
ila ndo hivyo...hakuna namna tuna enda nao hivyo hivyo tu hawa vidingi wanaotaka
mambo ya digital....
Preach!
 
Back
Top Bottom