Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa hatuna dini, itikadi, vyama, elimu. Bora unajua kusoma na kuandika na usiandike matusi.
Kula like zangu kama kumi kwa mpigo...hapa ni chi chat
wajua haya ndo madhara ya mitandao ya kijamii yaani hapa ni chit chat forum
ila waweza kuta una chati na mwalimu mkuu wako wa shule ya msingi au babu yako
ila ndo hivyo...hakuna namna tuna enda nao hivyo hivyo tu hawa vidingi wanaotaka
mambo ya digital....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…