Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngozi ya matunda kama zabibu zinasaidia kulinda afya ya ngozi ya binadamu na kupunguza hatari ya mtu kupata ugonjwa wa saratani.
Ngozi na nyama za ndani za matunda kama machungwa ni chanzo kizuri cha nyuzi lishe, ambazo hupotea wakati wa kuchuja juisi.
 
Nyuzi lishe zinasaidia usagaji wa chakula tumboni, humwezesha mtu kupata haja kubwa na kuepuka saratani ya utumbo mpana. Zinapunguza pia kasi ya sukari kutoka katika utumbo na kuingia katika damu, na zinapunguza wingi wa nishati.
 
394. What are Micronutrients ?

Micronutrients are nutrients required throughout life in small quantities for a wide range of physiological functions enabling the body to produce enzymes, hormones and other substances essential for proper growth and development. These include dietary trace minerals in amounts generally less than 100 milligrams per day, as opposed to macrominerals, which are required in larger quantities. The microminerals or trace elements include iron, cobalt, chromium, copper, iodine, manganese, selenium, zinc and molybdenum. Vitamins are also micronutrients and perform diverse biochemical functions.
 
392. How do night goggles work and what type of energy do they use?

Truth is, not all types of light is visible. The light that we can see is only part of the electromagnetic spectrum .There are other types of light, such as infrared and ultraviolet light, which cannot be seen by the naked eye .
In the darkest places, there will always be a little light, even if it only is infrared light. What the googles do is they "enhance the image". This means that the goggles "amplifies the light" if you will.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…