Na ww unamjua ivuga[emoji3] [emoji3]......baba vivian me nilimjulia MMUInaonekana kuna jukwaa moja ambalo mlikuwa mnakutana huko na akina Ivuga na Baba Viv mpaka mkafahamiana. Majukwaa yote ni nadra kufahamiana na watu unless kama mnafahamiana nje ya JF...
Nambie kamanda coleKamanda Bob12
CantstopwontStop
Nimeamka vizuri kabisa mtumishi,kwema huko?We mzee umeamkaje?
AiseeUage sasa sio unaondoka ondoka tu
Braza huu ubuyu umekua mtamu sana kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]So mdogo wake ndo anatafutwa humu JF? Good luck mkuu na hongera kwa kuwa baba kwa Viv.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ndo umtafutie sasa apate wa kucheza nae
[emoji124] [emoji124] [emoji124] maumivu ya kichwa huanza taratibu,maumivu yakizidi onana na mzee wa liver.....Hawa vyura hawa eti malkia enzi hizo walikuwepo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakupongezaa tu..ujue kua na mtoto na heshima kubwaBraza huu ubuyu umekua mtamu sana kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Inna naomba ukitoka humu unishike mkono tuondoke mana ishakua nongwa
Salama kabisa,nasikia wapenda vyura wameambiwa waende mtoni wapo kibao[emoji12] [emoji12]Nimeamka vizuri kabisa mtumishi,kwema huko?
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Braza huu ubuyu umekua mtamu sana kwako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Inna naomba ukitoka humu unishike mkono tuondoke mana ishakua nongwa
Mzee wa liver jana kashinda,huko aliko sipati picha mana meno 32 yote njeKama kuna madenti humu njooni mjisomee. Hata wahenga siyo vibaya kujikumbusha haya mambo. General knowledge tu. Uzi huu ni buffet ya almost kila kitu. Ngoja kuche sawasawa wataalamu wa mpira na mambo mengine waje. Safi sana
********************************
369. What is an equinox?
As the word says, it means equus & noctus meaning those days of year when day & night are of equal duration. It happens when the earth's equator passes through sun. It is usually seen on 20th of March & 23rd of September. Whereas a solstice is opposite of an equinox, it occurs when the sun is farthest from earth's elliptical path. Summer solstice seen on June 21st when day is probably the longest & winter solstice on December 22 when it is shortest.
Duh[emoji124] [emoji124] [emoji124] maumivu ya kichwa huanza taratibu,maumivu yakizidi onana na mzee wa liver.....
Very true[emoji23] [emoji23] [emoji23] anakupongezaa tu..ujue kua na mtoto na heshima kubwa