myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Vivi anasema anataka wadogo zake
Huyu jamaa demokrasia haiwezi basi tu ila kama ingekuwa ni matakwa yake angekuwa keshapiga marufuku vyombo huru vya habari, kufukuza waislamu na wahamiaji wengineo na mengineyo mengi. Vyombo vyao viko imara na mihimili ya serikali inamkwamisha. Demokrasia ni shida!!!
Bwana yule kiukweli ni tatizo sana,hizo gospo zinamtengenezea mazingira ya kuonewa huruma na mama zetu wenye kujua upendo ni nini.Habari ya huko ndugu yangu?Zizi limeshaingiliwa mkuu? Halafu jamaa kaingia kwa gia ya ulokole. Ni shida juu ya taabu !!!
Huku kwema. Tukuyu kukoje? Dadangu na wapwa zangu hawajambo?Bwana yule kiukweli ni tatizo sana,hizo gospo zinamtengenezea mazingira ya kuonewa huruma na mama zetu wenye kujua upendo ni nini.Habari ya huko ndugu yangu?
sijui kama atamaliza muhula wake salamaHuyu jamaa demokrasia haiwezi basi tu ila kama ingekuwa ni matakwa yake angekuwa keshapiga marufuku vyombo huru vya habari, kufukuza waislamu na wahamiaji wengineo na mengineyo mengi. Vyombo vyao viko imara na mihimili ya serikali inamkwamisha. Demokrasia ni shida!!!
Jamani jamaniHahahaa Kwa wake za watu acha hizo
Huyu na mjomba solex lao moja tuHuyu jamaa demokrasia haiwezi basi tu ila kama ingekuwa ni matakwa yake angekuwa keshapiga marufuku vyombo huru vya habari, kufukuza waislamu na wahamiaji wengineo na mengineyo mengi. Vyombo vyao viko imara na mihimili ya serikali inamkwamisha. Demokrasia ni shida!!!
Mimi somo la mlonge lilinipita. Daktari sijui anaweza kulirudia tena? Ngoja nimtafute niulizie vizuri...
Bageshi. Ni afadhali upigwe mvua mbili kuliko kunyonya hivi vidole? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe ni tabu sana. Mlonge saa hizi? Kweli? Halafu hilo tope litakalo tengenezwa shimo gani la kusukumia saa hizi? Mtumishi!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ishakua nongwa sasaZizi limeshaingiliwa mkuu? Halafu jamaa kaingia kwa gia ya ulokole. Ni shida juu ya taabu !!!
Hahaha weaving la wababaNa akina baba nasi tumo eeeh !!?
Hayo macho hayoASENO tupo macho balaa...
[emoji23][emoji23][emoji23]