Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ukiwa imara utayashinda.Omba sana kwa Mungu akuonyeshe njia yenye mwanga wa amani.Lea mtoto, tafuta hela,soma vitabu vya dini,jichanganye na watu mbalimbali...Mungu akutie nguvu brother, ni kipindi kigumu unapitia
Hilo soko hiloWeee!!! Saa hizi nipo zangu sokoni kwa lengo moja tu,nalo ni.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siamini kama kuna mtu kamtolea ng'ombe 30 na bado anahangaika na misambwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinadharia yes unatakiwa kutosheka na dada yetu uliyemtolea ng'ombe 30. Shida ya hii misambwanda haiishi na siku hizi ndo balaa. Juzi juzi posta mpya pale round about ya lipolisi lile wanapotaka kumuweka dayamondi pulatinamuz umepita msambwanda wa kufa mtu jamaa mmoja kageuza shingo mpaka akaiparamia nguzo ya umeme ngwee damu zikamtoka. Aliumia na damu kumtoka lakini jamaa wakamzomea tu.
Ukiwa na dada halafu unakata shingo kushangaa msambwanda ni kumkosea adabu. Anza kuwa unajikaza ikibidi fumba macho kabisa na usali kimoyo moyo. Ila ukiwa peke yako angalia hata macho yakudondoke ali mradi tu usianze kuulizia namba za simu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]