Kabisa...Sidhani hata kama alie uanzisha aliwaza utakuwa hivi.
Na wewe unayapenda sema nitafute mwingineNipo....
Mimi ndo nimeingia kujja kula likes nimezimiss aisee
Ushidwe wew tu. Nishakuchapa zakutosha.Mimi ndo nimeingia kujja kula likes nimezimiss aisee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaha...nimekupa na nyingine ikufikishe daku Kabisa..Nashukuru sana babe S: angalau like zako ztanipa nguvu ya futari
Usitoke....hahaha!Jamani natoka baadae