Kweli kabisa..You have to fight for your marriage. Mtu mmetoka mbali vile leo kapata mihela na cheo kizuri cha uhasibu mkuu wa wizara ndo ameanza kuruka ruka na michepuko. Haikubaliki kabisa !!!Yaan kaka we acha tu, nakoma na hii ndoa ila ndio sibanduki ng'ooo.
Nimefumaniwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbavu zangu walahi!
Uwiii
Post zenu kiboko!
Shimba ya buyenze ni vip kaka??Kweli kabisa..You have to fight for your marriage. Mtu mmetoka mbali vile leo kapata mihela na cheo kizuri cha uhasibu mkuu wa wizara ndo ameanza kuruka ruka na michepuko. Haikubaliki kabisa !!!
Yaan kwakweli mm hapa ndio nshafika. Acha aruke tu ila najua mwisho wa siku atarudi home.Kweli kabisa..You have to fight for your marriage. Mtu mmetoka mbali vile leo kapata mihela na cheo kizuri cha uhasibu mkuu wa wizara ndo ameanza kuruka ruka na michepuko. Haikubaliki kabisa !!!
Ng'ombe gani hawa wana vichwa vikubwa na viuno vyembamba kama madume ya siafu? Umewatoa wapi hawa? Watastahimili hali ya hewa ya Shinyanga? Wanaweza kulima? Utoaji wao wa maziwa ukoje?Sio mimi nimelianzisha,acha tu nilipe hili deni[emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji233]
Kweli carba ananiharibia ndoa.Kuna haja ya reform [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Sio kutishana, changamka kulipa. Achana na mambo ya carba hahahah